Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamba kacheza dakika 107 tu lakini kakomba mataji 11

Scott Carson Xczx Mwamba kacheza dakika 107 tu lakini kakomba mataji 11

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji Scott Carson sasa ameshinda mataji 11 na klabu ya Manchester City, licha ya kucheza dakika 107 tu za mpira.

Mlinda lango huyo alijiunga na Manchester City kwa mkopo Agosti 2019 kutoka Derby County, ambako alicheza mechi 162 kwa jumla, akitoa asisti mbili. Na kusani mkataba na Manchester City wa kudumu Julai 2021.

Scott Carson mwenye umri wa miaka 38 sasa, akiwa na Manchester City ametwaa:

4x Premier League

1x Champions League

1x FA Cup

2x League Cup

1x Community Shield

1x Super Cup

1x Club World Cup.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live