Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwamba anaewaumiza vicha Liverpool, Chelsea

A,morim kocha wa Sporting Lisbon, Ruben Amorim

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chelsea na Liverpool wote kwa pamoja wapo kwenye mipango ya kumchukua kocha wa Sporting Lisbon, Ruben Amorim kurithi mikoba ya makocha wao

Chelsea na Liverpool wote kwa pamoja wapo kwenye mipango ya kumchukua kocha wa Sporting Lisbon, Ruben Amorim kurithi mikoba ya makocha wao Vita hiyo ya kumgombea Kocha huyo imeibuka zaidi baada ya Kocha wa Liverpool, Jürgen Klopp kutangaza kuwa ataachana na timu hiyo mwisho wa msimu huku Mustakabali wa kocha wa Chelsea, Mauricio Pochettino haujulikani baada ya timu yake kupoteza mchezo wa fainali ya Kombe la Carabao dhidi ya Liverpool hivyo kila mmoja anataka kumuwahi aje kurithi mikoba yao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live