Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo: Mimi ni mwanaume wa kweli

Mwakinyo Hassan 3 Bondia Hassan Mwakinyo

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akiwa anatumikia adhabu ya kufungiwa kutoshiriki katika mchezo wa ngumi kwa mwaka mmoja na adhabu ya kupigwa faini.

Bondia Hassan Mwakinyo kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika;

"Misoto mikali na maisha ya dhiki niliyopitia yamenifanya kubaki kuwa mwanaume wa kweli"

"Mwanaume ni nani.. Mthubutu, rijali wa kweli,asiye ogopa maisha. Mungu aliwapa watu kuwa sehemu ya mifano ili ambao hatuna tujifunze kukaza inawezekana. Lakini aliwanyima wengine pia kutufunza kuwa kukosa inawezekana. Kuwa mwanaume sio neno, uanaume wako unasimama wapi?"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live