Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mvua ni ishara nzuri kwa Simba - Ahmed Ally

Mvua Ni Ishara Nzuri Kwa Simba   Ahmed Ally.jpeg Mvua ni ishara nzuri kwa Simba - Ahmed Ally

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kitendo cha mvua kunyesha kuelekea kwenye mchezo wao wa dabi, ni ishara nzuri ya ushindi kwao.

Ahmed amefunguka hayo mapema hii leo Novemba Mosi, 2023 alipokuwa kwenye mkutano wa kuwatangaza wadhamini wao wapya Kampuni ya Serengeti Breweries.

"Mvua ni ishara nzuri kwa Simba. Tukiwa katika wiki hii yenye thamani kubwa ya Kariakoo Derby tumewaletea tukio lingine kubwa la kihistoria kati ya Simba na Serengeti," alisema Ahmed Ally.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live