Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muuaji wa Yanga uso kwa uso na Mahrez

Mahious Aymen Mahious wa USM Alger

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aymen Mahious wa USM Alger aliyefunga goli la kwanza dhidi ya Yanga katika fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Algeria kitakachocheza mechi za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Uganda na ya kirafiki dhidi ya Tunisia.

Aymen Mahious wa USM Alger aliyefunga goli la kwanza dhidi ya Yanga katika fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Algeria kitakachocheza mechi za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Uganda na ya kirafiki dhidi ya Tunisia. Jina lake sio geni kwa sasa katika vichwa vya wapenda kandanda nchini Tanzania kwa kile alichokifanya wikiendi iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live