Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Musonda kurudi Yanga na makali ya AFCON?

Musonda Chama Musonda kurudi Yanga na makali ya AFCON?

Sat, 27 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Yanga Kennedy Musonda alikuwa na wakati mzuri kwenye michuano ya Afcon 2023 akiwa na kikosi cha timu ya Taifa ya Zambia

Musonda alipata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kocha Avram Grant akianzishwa katika mchezo wa mwisho dhidi ya Morocco, mchezo uliohitimisha ushiriki wa Zambia baada ya kipigo cha bao 1-0

Ni wazi michuano hiyo imemuongezea Musonda ari, morali na kujiamini. Pengine Wananchi watarajie kuona analeta kasi hiyo katika ligi kuu ya NBC

Yanga imeongeza ushindani eneo la ushambuliaji baada ya kumsajili Joseph Guedo katika dirisha dogo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: