Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Musonda apata mtoto wa kike

Zd Diamond Musonda apata mtoto wa kike

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga SC raia wa Zambia, Kennedy Musonda usiku wa kuamkia leo amebahatika kupata mtoto wa kike ambaye amempatia jina la Zamaya Elizabeth Musonda.

Musonda alisajiliwa na Yanga wakati wa dirisha dogo la msimu uliopita akitokea Power Dynamos ya nchini kwao, Zambia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: