Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Musonda ampishe Skudu - mchambuzi

Yanga Skudu Aucho Musonda.png Musonda ampishe Skudu - mchambuzi

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa msuala ya soka kutoka EA Radio, Saidi Van Msumi amesema kuwa, mshambuliaji wa Yanga SC, Kenennedy Musonda raia wa Zambia ni bora akaanzia benchi kwenye mchezo wa leo ili kocha amuanzishe winga raia wa Afrika Kusini, Skudu Makudubel.

Msumi amesema hayo kuelekea mchezo wa leo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Medeama FC ya nchini Ghana utakaopigwa nchini humo majira ya saa 1:00 jioni.

"Mimi naona kwa pembeni nasema Musonda ni bora abakie benchi halafu kocha Gamondi acheze na natural winga kama ni Skudu au Moloko," amesema Msumi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: