Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Musonda: Ligi ya Tanzania ni gumu

Musonda Kennedy Med Kennedy Musonda

Sun, 26 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji nyota wa Yanga SC, Kennedy Musonda ameeleza furaha yake baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC, na kusema kwamba kila mchezo kwenye ligi ya NBC ulikuwa mgumu.

"Kwenye makaratasi unaweza ukauona mchezo utakuwa mwepesi lakini ukawa mgumu au kwenye karatasi ukauona mchezo mgumu lakini ukawa mwepesi," amesema.

Musonda amegusia kwamba kila mchezo timu ilienda na mbinu tofauti kutegemea aina ya mpinzani ili kupata matokeo.

Kwa mtazamo wako, ni mchezo gani ilikuwa mgumu zaidi kwa Yanga msimu wa 2023/2024?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live