Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muokota mipira Man City acheza mechi yake ya kwanza UEFA

Micah Hamilton Muokota mipira Man City acheza mechi yake ya kwanza UEFA

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anaitwa Micah Hamilton, Kinda huyu Ana umri wa miaka 20, ni kiungo mshambulizi/winga wa Manchester City U23.

Micah, miaka 5 iliyopita alikuwa miongoni mwa Ballboys na jana, amechezeshwa kwa mara ya kwanza na kocha Pep Guardiola kwenye mechi ya klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Crvena Zvezda na akafunga goli katika Mchezo mkubwa wa mashindano ya UEFA,

Hii inatoa funzo kwa Vijana wetu, kuwa wavumilivu na kuwa na hamu ya kuyafikia malengo yako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live