Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mukoko Tonombe anarudi NBC Ligi?

Mukoko Tonombe NBC Ligi Mukoko Tonombe

Wed, 1 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Black Stars ina mpango wa kumrejesha nchini kiungo wa zamani wa klabu ya Yanga Mukoko Tomombe raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anaitumikia TP Mazembe.

Mukoko na TP Mazembe mkataba wao unaisha mwishoni mwa msimu huu huku Singida Black Stars (Ihefu) ikiweka nguvu kwaajili ya kukiunda kikosi chake kuelekea msimu ujao.

Umemis show za teacher Mukoko Tomombe ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: