Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mudathir katika sura ya Bellingham pale Real Madrid

Mudathir Vs Mzize Mudathir katika sura ya Bellingham pale Real Madrid

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati washambuliaji wa Yanga wakijitafuta kimtindo, Kiungo wa Yanga Mudathir Yahya ameijua njia ya kulitafuta boksi na kufunga kama afanyavyo Jude Bellingham pale Real Madrid.

Mabao yalikuwepo kuwepo mguuni ila kwa sasa ni kama amepata njia ya kuyaongeza tena yakiwa na umuhimu kwenye kuisaidia timu kupata alama 3.

Pengine mwisho wa msimu tutakaa mezani na kukumbuka nyakati nzuri za Mudathir ndani ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: