Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mudathir atakata Yanga ikiitembezea kichapo KMC

Mudathir Vs Mzize Mudathir atakata Yanga ikiitembezea kichapo KMC

Sat, 17 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Goli lililofungwa na Pacome Zouzoua na mengine mawili ya Mudathir Yahya yameifanya Yanga kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya KMC kwenye Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro

Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha pointi 43 na kuendelea kuongoza Msimamo wa Ligi KuuBara kwa tofauti ya pointi 7 dhidi ya Simba na Azam FC zinazoshika nafasi ya pili na tatu mtawalia.

Upande wa KMC imebaki nafasi ya 5 ikiwa na alama 22 katika michezo 16

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: