Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mudathir arejea kuivaa Dodoma

Mudathir Pacomeee Mudathir Yahya

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga, Mudathir Yahya ambaye walimkosa katika mchezo uliopita dhidi ya Kagera Sugar, amerejea kikosini.

Mudathir anatarajiwa kuwepo leo Jumatatu katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji utakaochezwa saa 1:00 usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Kiungo huyo alikosekana katika mchezo uliopita kutokana na matatizo aliyoyapata hali iliyomlazimu ashindwe kusafiri na timu kwenda mkoani Kagera.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live