Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mudathir Yahaya, Mkombozi wa Yanga nyakati za mashaka

Mudathir 41 Instagram Mudathir Yahaya, Mkombozi wa Yanga nyakati za mashaka

Wed, 7 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga, Mudathir licha ya Energy yake kiwanjani lakini msimu huu ameongeza idadi ya magoli kwenye mchezo wake lakini pia amekuwa akifunga mabao muhimu kwa upande wa Yanga.

Kiungo wa Yanga, Mudathir licha ya Energy yake kiwanjani lakini msimu huu ameongeza idadi ya magoli kwenye mchezo wake lakini pia amekuwa akifunga mabao muhimu kwa upande wa Yanga. Msimu huu kwenye ligi kuu mabao yake 2 tu yamewapa Yanga Alama 6... Shooting yake haijakuwa imara lakini hiyo ameifidia kwa kuingia kwenye maeneo sahihi ndani ya boksi na kuonesha utulivu kwenye kutafuta angle na kufunga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: