Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mudathir, Fei Toto walimwa faini na TFF

Fei Toto, Mudathir Mudathir, Fei Toto walimwa faini na TFF

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji Mudathir Yahya wa Yanga na Feisal Salum (Fei Toto) wa Azam wametozwa faini ya Sh2 milioni kila mmoja kwa kosa la kukataa kupeana mikono na waamuzi na wachezahu kabla ya mechi ya Yanga vs Azam kuanza Oktoba 22 Uwanja wa Mkapa.

Wachezaji Mudathir Yahya wa Yanga na Feisal Salum (Fei Toto) wa Azam wametozwa faini ya Sh2 milioni kila mmoja kwa kosa la kukataa kupeana mikono na waamuzi na wachezahu kabla ya mechi ya Yanga vs Azam kuanza Oktoba 22 Uwanja wa Mkapa. Katika taarifa ya Bodi ya Ligi imeeleza wachezaji hao walisimama katika mstari wa kuingia kiwanjani muda wa kupeana mikono kisha kuingia baada ya zoezi hilo kukamilika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live