Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muda wake sasa umewadia pale Azam

Alassane Diao Alassane Diao.

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Alassane Diao (20) Raia wa Senegal anayekipiga kwenye Klabu ya matajiri wa Chamazi Azam FC.

Diao kajiunga na Azam FC Msimu Huu wa 2023/24 akitokea Katika klabu ya US Goree ambayo inashiriki Ligi Kuu nchini Senegal.

Mshambuliaji huyu Toka amejiunga na matajiri hao amefanikiwa kucheza dakika 235 kwenye Mechi 8 za Ligi Kuu ya NBC na amefanikiwa kufunga Goli 2 tu Hajatoa Asisti yeyote.

Pengine hii ikawa ni Nafasi nyingine kwa Alassane Diao ya kumuonyesha Kocha na kumuaminisha kuwa siyo Dube tu hata yeye akipewa nafasi ya kucheza anafunga pia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live