Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muda Sio mrefu Afrika tutabeba Kombe la Dunia

Patrice Motsepe 2 1062x598 Rais wa Shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrick Motsepe

Sat, 14 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la soka Afrika Patrick Motsepe amesema anaamini kwa miaka ijayo Afrika itatoa bingwa wa kombe la Dunia kutokana na maendeleo ya sok yanavyoonekana kwasasa.

Rais wa Shirikisho la soka Afrika Patrick Motsepe amesema anaamini kwa miaka ijayo Afrika itatoa bingwa wa kombe la Dunia kutokana na maendeleo ya sok yanavyoonekana kwasasa. Patrice ametolea mfano timu ya Taifa ya Morocco ambayo ilifika hatua ya nusu fainali na kwa wakati mwingine hawataishia hapo watafika hadi fainali na hatimae kubeba ubingwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live