Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa kwanza kuzaliwa 2024 apewa jina la Mbappe

Mtoto Wa Kwanza Kuzaliwa 2024 Apewa Jina La Mbappe Mtoto wa kwanza kuzaliwa 2024 apewa jina la Mbappe

Fri, 12 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa kwanza kuzaliwa mwaka 2024 nchini Hispania amepewa jina la mchezaji wa ‘klabu’ ya PSG, Kylian Mbappe.

Wazazi wa mtoto huyo wajulikanao kama Fran Barreiro na Jenny Gallego, wamempa jina la ‘Kylian’ mtoto wao kama heshima kwa mchezaji huyo kutokana na baba yake kuwa shabiki kindaki ndaki wa Mbappe.

Aidha mtoto huyo anatajwa kuwa wa kwanza kuzaliwa kwa mwaka 2024 nchini Hispania katika hospitali ya Alvaro Cunqueiro ambapo alizaliwa Januari 1 akiwa na uzito wa kilo 3.45.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live