Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa Van Persie aitaka Timu ya Taifa ya Morocco

Robin VP Son Mtoto wa Van Persie aitaka Timu ya Taifa ya Morocco

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa Robin van Persie, Shaqueel van Persie, anayechzea Feyenoord, ameifuatilia akaunti ya Instagram ya timu ya taifa ya Morocco.

Mama yake kijana huyo wa miaka 17 ni raia wa Morocco na kutokana na hilo anaweza kuchezea timu hiyo endapo ataamua.

Hata hivyo kijana huyo ameshachezea timu za taifa chini ya miaka 16 na 17 za Uholanzi, nchi ya baba yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live