Fri, 30 Jun 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mtoto wa kocha wa zamani wa Yanga Nasrine Mohamed Nabi ameutupia lawama uongozi wa Kaizer Chief Kwa kumrubuni baba yake kuacha kazi Yanga Ili akawe kocha wa klabu hiyo lakini baadae wakaamua kuacha nae na kumuajili kocha mwingine wakati akiwa ameacha kazi na Yanga wameshaajili kocha mwingine.
Ahmed amesema ni bora baba yake arudi Yanga akawe kocha msaidizi kuliko kwenda kwenda Azam.
“Kaizer Chiefs hawana utu, wangekuwa na utu wasingemdanganya baba aondoke Yanga, ni bora baba arudi awe hata kocha msaidizi wa Yanga kuliko kwenda Azam," alisema Ahmed Nabi.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live