Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa Mkulima iibuka shujaa England

England U21 Mtoto wa Mkulima iibuka shujaa England

Mon, 10 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa Manchester City, James Trafford ambaye ameibuka shujaa kwenye michuano ya Euro U-21.

Trafford aliiwezesha timu ya England kutwaa Ubingwa kwa kutoruhusu hata bao moja kwenye lango lake, kwenye maisha yake ya utotoni hadi anafanikiwa kusajiliwa na Man City jamaa alikuwa akifanya kazi za ukulima ikiwa pamoja na kuendesha trekta na kuvuna mazao.

Mzazi wake ndio shughuli zake kuu hivyo muda mwingi aliutumia kumfundisha ujuzi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live