Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa Kanye West uso kwa uso na Messi

Saint West With Messi Saint West akiwa na Lionel Messi

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa mwanamuziki Kanye West na aliyekuwa mkewe Kim Kardashian, Saint West akiwa na mchezaji wa ‘klabu’ ya Inter Miami, Lionel Messi wakati wakiingia uwanjani kabla ya ‘Mechi’ kuanza.

Inter Miami usiku wa kuamkia leo walikuwa kibaruani dhidi ya LA Galaxy, mchezo uliotamatika kwa sare ya bao 1-1 huku Messi akitupia bao la kusawazisha dakika za nyongeza.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live