Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa George Weah achagua kuchezea Timu ya Taifa ya Marekani

Timothy Weah Timothy Weah

Fri, 18 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Liberia na sasa Rais wa nchi hiyo George Weah aitwaye Timothy Weah amewashangaza wengi baada kuamua kuichezea Timu ya Taifa ya Marekani badala ya Liberia.

Mtoto wa Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Liberia na sasa Rais wa nchi hiyo George Weah aitwaye Timothy Weah amewashangaza wengi baada kuamua kuichezea Timu ya Taifa ya Marekani badala ya Liberia. Ikumbukwe kuwa George Weah ndiye Mwafrika pekee aliyefanikiwa kushinda Tuzo ya Ballon D'or (Mchezaji bora wa Dunia) na Mwanae Timothy Weah ataiwakilisha Marekani kwenye michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live