Hamza Gharib Said (14), mtoto wa mfanyabishara na mfadhili wa Yanga Afrika, Gharib Said Mohamed (GSM) ametoa msaada wa shilingi milioni 2 katika Shule Maalumu ya Sekondari ya Patandi iliyopo Duluti, mkoani Arusha.
Hamza Gharib Said (14), mtoto wa mfanyabishara na mfadhili wa Yanga Afrika, Gharib Said Mohamed (GSM) ametoa msaada wa shilingi milioni 2 katika Shule Maalumu ya Sekondari ya Patandi iliyopo Duluti, mkoani Arusha. Hamza ametoa msaada huo katika harambee iliyoendeshwa wakati Taasisi ya Achraf Hakimi ilipofika shuleni hapo kutoa msaada ili kuboresha shughuli za kufundisha na ujifunzaji katika shule hiyo maalumu.