Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtoto wa Ayew azimia baada ya baba yake kukosa Penati

Ayew Daughter Mtoto wa Ayew azimia baada ya baba yake kukosa Penati

Sat, 3 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa kike wa Nahodha wa Ghana Andre Ayew, Maha Ayew (7) alipoteza fahamu baada ya baba yake kukosa mkwaju wa penati dhidi ya Uruguay.

Binti huyo aliwahishwa hospitali na anaendelea vizuri, na kwa mujibu wa mtoto wa pili wa Ayew. amesema kwamba Maya alianguka mara tu baba yake alipokosa mkwaju wa penati.

Ghana ilishindwa kufuzu kwa hatua ya 16 bora ya Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar baada ya jana kukubali kichapo cha magoli 2-0 kutoka kwa Uruguay ambayo licha ya kushinda pia imetupwa nje ya michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live