Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa yamtoa machozi nyota wa Ihefu

Kibaya Aaa Mtibwa yamtoa machozi nyota wa Ihefu

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Mtibwa Sugar kuwa na msimu mbaya katika Michezo ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo Jaffary Kibaya ameonesha kuguswa na matokeo ya kikosi hicho.

Baada ya Mtibwa Sugar kuwa na msimu mbaya katika Michezo ya Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo Jaffary Kibaya ameonesha kuguswa na matokeo ya kikosi hicho. Kibaya anayekipiga katika kikosi cha Ihefu FC hivi sasa ameandika kuwa “ Moyoni mwangu naumizwa sana na wakati mgumu ambao timu inapitia nawaombea wapambanaji wa timu mjitolee kwa hali na mali na kwa kudra zake Mwenyezi Mungu tuondokane na maumivu haya,“ ameandika Kibaya katika ukurasa wake wa Facebook na kuweka emoji ya machoji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live