Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa wawekewa Milioni 30 kuiua Simba SC

Mtibwa Mwanza.jpeg Mtibwa wawekewa Milioni 30 kuiua Simba SC

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Mtibwa Sugar kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umekaa kikao na kutoa motisha katika timu yao ili ifanye vizuri na kuepuka kichapo leo dhidi ya Mnyama .

Uongozi wa Mtibwa Sugar kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umekaa kikao na kutoa motisha katika timu yao ili ifanye vizuri na kuepuka kichapo leo dhidi ya Mnyama . Katika kikao hicho kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 30 milioni endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live