Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa washusha Golikipa Mzungu

Andre Krul Aken 300919 00051 Mlinda lango Andre krul

Fri, 12 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda mlango Andre krul (36) amejiunga na kikosi cha Mtibwa sugar kwa majaribio maalumu,

Mlinda lango huyo raia wa Uholanzi ametua Turiani (Manungu) hivi kujaribu bahati yake huku pia akiwa na malengo ya kuweka historia ya kuwa mlinda lango aliyedakia vilabu mbali mbali kutoka mabara yote Duniani.

Misimu miwili ya nyuma Krul alishindwa kujiunga na Klab ya Express ya Uganda kutokana na Janga la Covid 19.

Malengo ya krul ni kuhakikisha anacheza mabara yote Duniani na katika mzunguko wake alisaliwa na bara la Afrika tu.

Sasa yupo Manungu kwa majaribio ili kuona kama anaweza Kuendeleza historia yake hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: