Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa vs Yanga funga mwaka

Da623338 0be2 4c8b 9c6c F3a60635f569 Mtibwa vs Yanga funga mwaka

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michezo miwili ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara kufunga mwaka 2022 inapigwa leo Dar es Salaam na Morogoro.

Mchezo unaosubiriwa kwa hamu ni kati ya Mtibwa Sugar na Yanga utakaofanyika uwanja wa Manungu, Turiani mkoa wa Morogoro.

Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 47 baada ya michezo 18 wakati Mtibwa ipo nafasi ya 8 ikikusanya pointi 24 baada ya idadi hiyo ya michezo.

Katika mchezo mwingine Azam itaikaribisha Mbeya City kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Azam ipo nafasi ya 3 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 37 baada ya michezo 18 wakati Mbeya City inashika nafasi ya 10 ikikusanya pointi 21 baada ya michezo 18 pia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live