Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa Sugar yamtambulisha Golikipa wa Simba

Kisubi Jeremiah Jeremiah Kisubi

Mon, 10 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mtibwa Sugar ya kule Manungu, Mkoani Morogoro, imemtambulisha mlinda mlango wa Mabingwa watetezi Simba SC Jeremiah Kisubi kama usajili wao mpya katika dirisha dogo.

Klabu ya Mtibwa Sugar ya kule Manungu, Mkoani Morogoro, imemtambulisha mlinda mlango wa Mabingwa watetezi Simba SC Jeremiah Kisubi kama usajili wao mpya katika dirisha dogo. Mtibwa Sugar imeamua kumsajili Jeremiah Kisubi kwa mkopo ili akazibe nafasi iliyoachwa na golikipa wao namba moja Abuutwalib Mshery alietimkia Yanga SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live