Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa Sugar yaibomoa Polisi Tanzania, yamnasa Mayanga

Vitalis Mayanga.jpeg Vitalis Mayanga

Thu, 12 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika kuimarisha kikosi chake kwa sehemu iliyobaki ya msimu, klabu ya Mtibwa Sugar imemsajili mshambuliaji Vitalis Jimrod Mayanga kutoka Polisi Tanzania ya Kilimanjaro.

Katika kuimarisha kikosi chake kwa sehemu iliyobaki ya msimu, klabu ya Mtibwa Sugar imemsajili mshambuliaji Vitalis Jimrod Mayanga kutoka Polisi Tanzania ya Kilimanjaro. Polisi Tanzania ipo katika nafasi mbaya huku ikipambana isishuke daraja na sasa inanolewa na kocha Mwinyi Zahera.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live