Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa Sugar yaendelea kushusha wazawa tu

Hilal.jpeg Abdul Hillary Hassan

Sat, 5 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klab ya Mtibwa sugar Imemtambulisha kiungo wao Mpya Abdul Hillary Hassan akitokea KMC (baada ya kandarasi yake kuisha KMC).

Klab ya Mtibwa sugar Imemtambulisha kiungo wao Mpya Abdul Hillary Hassan akitokea KMC (baada ya kandarasi yake kuisha KMC). Mtibwa wamesema hawatasajili mchezaji yoyote wa kigeni Dirisha hili la usajili linaloendelea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live