Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa Sugar mambo magumu, yabanwa Manungu

Mtibwa Vs Dodomaaaaa.jpeg Mtibwa Sugar mambo magumu, yabanwa Manungu

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Jana Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro.

Wenyeji, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Jana Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Kwa matokeo hayo, Mtibwa Sugar inafikisha pointi tisa, ingawa inaendelea kushika mkia kwenye ligi, wakati Dodoma Jiji FC inafikisha pointi 20 na inabaki nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechi 17.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live