Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa Sugar inapumulia mashine mkiani mwa msimamo

Mtibwa Sugar Inapumulia Mashine Mkiani Mwa Msimamo Mtibwa Sugar inapumulia mashine mkiani mwa msimamo

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtibwa Sugar imekusanya alama nane [8] katika michezo minne [4] iliyopita ya Ligi Kuu. Imeshinda michezo miwili na kutoka sare michezo miwili.

Michezo minne iliyopita ya Mtibwa Sugar

???? Mtibwa Sugar 0-0 Dodoma Jiji ✅ Singida Fountai Gate 0-2 Mtibwa Sugar ✅ Mtibwa Sugar 2-1 Tanzania Prisons ???? Kagera Sugar 0-0 Mtibwa Sugar

Mtibwa Sugar bado ipo nafasi ya mwisho [16] ikiwa na alama 16 baada ya kucheza michezo 20.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live