Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtego uko hapa sakata la Man City na ukiukaji wa matumizi ya fedha

DSC00050 1 2200x1408 Mtego uko hapa sakata la Man City na ukiukaji wa matumizi ya fedha

Mon, 6 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuibuka kwa sakata la kalabu ya Machester City kukiuka sheria ya matumizi ya fedha, tayari kuna kila dalili inayoonesha kuwa sakata hilo litaisha kwa maumivu makubwa kwa upande wa kalabu hiyo.

Kwa Mujibu wa Sheria za Premier League, Manchester City hawataruhusiwa kukata rufaa maamuzi yoyote yatakayochukuliwa dhidi yao kama adhabu ya kukiuka kanuni za ushindani wa kibiashara.

Man City wamekutwa na hatia ya zaidi ya makosa mia moja huku wakituhumiwa kwa kutotoa ushirikiano katika kipindi chote cha uchunguzi ambao umechukua miaka minne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live