Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtanzania mwingine asajiliwa Saudi Arabia

Enekia Nyota wa timu ya Taifa ya wanawake Tanzania Enekia Kasonga

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa timu ya Taifa ya wanawake Tanzania Enekia Kasonga amesajiliwa na klabu ya Eastern Flames inayoshiriki Ligi kuu Saud Arabia.

Nyota wa timu ya Taifa ya wanawake Tanzania Enekia Kasonga amesajiliwa na klabu ya Eastern Flames inayoshiriki Ligi kuu Saud Arabia. Enekia anaungana na mchezaji mwingine wa timu ya Taifa ya Tanzania Clara Luvanga kwenye Ligi hiyo anayekipiga Al Nassr.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live