Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtanzania atua Tusker FC ya Kenya

David Mwasa David Mwasa

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tusker FC imekamilisha usajili wa Beki wa kati raia wa Tanzania David Mwasa kwa Mkataba wa Miaka Miwili

kwa nyakati tofauti mchezaji huyo aliwahi kuzichezea Klabu za Mbao FC, KMC na Mbeya City FC.

Mwasa tayari ameshajiunga na Kambi ya Tusker FC iliyowekwa Arusha

Chanzo: www.tanzaniaweb.live