Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtanzania aongoza kwa magoli Ligi Kuu Norway

Amahl Pellegrino Amahl Pellegrino

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtanzania ambaye anakipiga ligi kuu ya Norway kwenye klabu ya Bodo/Glimt, Amahl Pellegrino wikiendi amefunga goli 4 dhidi ya Valerenga.

Hadi sasa nyota huyo ndo kinara wa ufungaji kwenye ligi hiyo akiwa na goli (22) kwenye mechi (22) za ligi.

Nadhani TFF wanatakiwa kumleta huyu jamaa ili aungane na wenzake AFCON.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live