Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtanzania ala shavu Al Merrikh

Kika Klabu ya Al Merreikh imemtangaza Murshid Ally Kika raia wa Tanzania

Thu, 20 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Merreikh imemtangaza Murshid Ally Kika raia wa Tanzania kuwa kocha wao wa viungo.

Murshid ana leseni B ya CAF lakini pia ni mtaalamu wa GPS system za kupima wachezaji

Kabla ya kutua Al Merreikh, aliwahi kuwa kocha wa timu ya vijana ya Zanzibar na klabu ya Kundemba ya Zanzibar lakini akiwa mchezaji alipita timu ya Taifa ya Tanzania U17, Azam Fc na DTB.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live