Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtanzania aitwa Timu ya Taifa ya Marekani

Bernard Kamungoo Vs Messi Bernard Kamungo

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Benard Kamungo ambaye ni Mzaliwa wa Kasulu, Kigoma anayeichezea FC Dallas inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani ameitwa katika Kikosi cha Awali cha Marekani, chini ya Miaka 23 kitakachoshiriki Michezo ya Olimpiki 2024

Kamungo aliyezaliwa katika Kambi ya Nyarugusu alihamia Abilene, Texas Nchini Marekani Mwaka 2016 baada ya familia yake kupata msaada kutoka kwa Kamati ya Kimataifa ya Uokoaji (IRC). Aliitwa timu ya Taifa ya Tanzania, Juni 2023 lakini hakucheza kwa kile ilichoelezwa kuwa ni changamoto ya Pasi ya Kusafiria ya Tanzania

Akiwa katika mazoezi ya Kikosi cha Marekani ambacho kitacheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Japan na Mexico, Kamungo anatakiwa kuonesha uwezo wa juu ili kupata nafasi katika orodha ya mwisho ya kikosi kitakachoiwakilisha Marekan

Chanzo: www.tanzaniaweb.live