Mechi ya Ligi Kuu England itachezwa kwenye Mkesha wa Krismasi kwa mara ya kwanza msimu huu baada ya miaka 28, imefichua ratiba mpya ya mikikimikiki hiyo kwa mwezi Desemba na Januari.
Wolves itakuwa mwenyeji wa Chelsea katika mchezo huo wa mkesha wa Krismasi, Desemba 24, huku Ligi Kuu England ikijaribu kuona wapatapa pingamizi gani kutoka kwa mashabiki juu ya kuwapo na kundi linalopinga kufanyika kwa mechi ya soka siku moja kabla ya Krismasi.
Kundi la mashabiki wa Wolves, Wolves 1877 Supporters Trust lilitoa taarifa yake: “Mmeonyesha kutokujali na kuheshimu mashabiki, hasa hawa wa Wolves ambao wanasafiri kutoka mbali, na hata mashabiki wa Chelsea pia ambao watakuwa wageni. Tunaona hii haipo sa
wa pia kwa wafanyakazi wa klabu, hasa wale wenye watoto wadogo, ambao wamepanga kufurahia Krismasi na familia zao.”
Baada ya hapo kutakuwa na mechi bandika bandua kuanzia Alhamisi, Desemba 21 hadi Jumanne, Januari 2, ambapo ni Krismasi tu na Ijumaa ya Desemba 29 ndiyo kutokuwa hakuna mechi itakayochezwa.
Kutakuwa na mechi za kibabe kwa mfano wa Desemba 23, West Ham United itaikaribisha Manchester United kwenye kipute cha mapema kabisa kabla ya Liverpool kujimwaga uwanja Anfield kucheza na Arsenal. Patachimbika.
Boxing Day kutakuwa ya mechi za kibabe sana, ambapo miamba kama Newcastle, Liverpool na Man United itakuwa mzigoni, wakati Fulham na Arsenal kipute chao kitapigwa kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya 2024, wakati Liverpool na Newcastle watamaliza ubishi siku ya kwanza ya Mwaka 2024 katika kipute kitakachofanyika uwanjani Anfield.
ratiba kamili ya Ligi Kuu England itakavyokuwa kwa Desemba mwaka huu na Januari, 2024
Jumanne, Desemba 5
Wolves v Burnley (Saa 4:30 usiku)
Luton Town v Arsenal (Saa 5:15 usiku)
Jumatano, Desemba 6
Brighton v Brentford (Saa 4:30 usiku)
Crystal Palace v Bournemouth (Saa 4:30 usiku)
Fulham v Nott’m Forest (Saa 4:30 usiku)
Sheff Utd v Liverpool (Saa 4:30 usiku)
Aston Villa v Man City (Saa 5:15 usiku)
Man Utd v Chelsea (Saa 5:15 usiku)
Alhamisi, Desemba 7
Everton v Newcastle (Saa 4:30 usiku)
Spurs v West Ham (Saa 5:15 usiku)
Jumamosi, Desemba 9
Crystal Palace v Liverpool (Saa 8:30 mchana)
Brighton v Burnley
Man Utd v Bournemouth
Sheff Utd v Brentford
Wolves v Nott’m Forest
Aston Villa v Arsena l (Saa 2:30 usiku)
Jumapili, Desemba 10
Everton v Chelsea (Saa 11:00 jioni)
Fulham v West Ham (Saa 11:00 jioni)
Luton Town v Man City (Saa 11:00 jioni)
Tottenham v Newcastle (Saa 1:30 usiku)
Ijumaa, Desemba 15
Nott’m Forest v Tottenham (Saa 5:00 usiku)
Jumamosi, Desemba 16
Bournemouth v Luton Town
Chelsea v Sheff Utd
Man City v Crystal Palace
Newcastle v Fulham
Burnley v Everton (Saa 2:30 usiku)
Jumapili, Desemba 17
Arsenal v Brighton (Saa 11:00 jioni)
Brentford v Aston Villa (Saa 11:00 jioni)
West Ham v Wolves (Saa 11:00 jioni)
Liverpool v Man Utd (Saa 1:30 usiku)
Alhamisi, Desemba 21
Crystal Palace v Brighton (Saa 5:00 usiku)
Ijumaa, Desemba 22
Aston Villa v Sheffield Utd (Saa 5:00 siku)
Jumamosi, Desemba 23
West Ham v Man United (Saa 9:30 alasiri)
Fulham v Burnley
Luton Town v Newcastle
Nott’m Forest v Bournemouth
Tottenham v Everton
Liverpool v Arsenal (Saa 2:30 usiku)
Jumamosi, Desemba 24
Wolves v Chelsea (Saa 10:00 jioni)
Jumanne, Desemba 26
Newcastle v Nott’m Forest (Saa 10:30 jioni)
Bournemouth v Fulham
Sheffiedl Utd v Luton Town
Burnley v Liverpool (Saa 2:30 usiku)
Man United v Aston Villa (Saa 5:00 usiku)
Jumatano, Desemba 27
Brentford v Wolves (Saa 4:40 usiku)
Chelsea v Crystal Palace (Saa 4:30 usiku)
Everton v Man City (Saa 5:15 usiku)
Alhamisi, Desemba 28
Brighton v Tottenham (Saa 4:30 usiku)
Arsenal v West Ham (Saa 5:15 usiku)
Jumamosi, Desemba 30
12:30 Luton Town v Chelsea (Saa 9:30 alasiri)
Aston Villa v Burnley
Crystal Palace v Brentford
Man City v Sheffied Utd
Wolves v Everton
Nott’m Forest v Man United (Saa 2:30 usiku)
Jumapili, Desemba 31
Fulham v Arsenal (Saa 11:00 jioni)
Tottenham v AFC Bournemouth (Saa 11:00 jioni)
Jumatatu, Januari 1, 2024
Liverpool v Newcastle (Saa 5:00 usiku)
Jumanne, Januari 2, 2024
West Ham v Brighton (Saa 4:30 usiku)
Jumamosi, Januari 13, 2024
Chelsea v Fulham (Saa 9:30 alasiri)
Newcastle v Man City (Saa 2:30 usiku)
Jumapili, Januari 14, 2024
Everton v Aston Villa (Saa 11:00 jioni)
Man Utd v Spurs (Saa 1:30 usiku)
Jumatatu, Januari 15, 2024
19:45 Burnley v Luton Town (Saa 4:45 usiku)
Jumamosi, Januari 20, 2024
Arsenal v Crystal Palace (Saa 9:30 alasiri)
Brentford v Nott’m Forest (Saa 2:30 usiku)
Jumapili, Januari 21, 2024
Sheffield Utd v West Ham (Saa 11:00 jioni)
Bournemouth v Liverpool (Saa 1:30 usiku)
Jumatatu, Januari 22, 2024
Brighton v Wolves (Saa 4:45 usiku)