Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtabiri aitabiria Simba maafa mbele ya Wydad leo

Wydad Utabiriiii Mashabiki wa Wydad

Fri, 28 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba ikijiandaa kuikabili Wydad mchezo wa mkondo wa pili wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Tayari kuna taarifa ambazo zinaweza kuwatoa katika ari ya mchezo Simba ambao tayari wana faida ya uongozi wa bao 1-0.

Taarifa hiyo ni ya mtabiri kutoka nchini Morocco ambae anajihusisha na utabiri wa matokeo ya soka.

Mtabiri wa soka maarufu Jijini cansablanca Nchini Morocco bwana ibin Swalehe Khatibu Abdullah Ametabiri Timu ya Wydad Athletic club itashinda idadi ya bao nyingi dhidi ya timu ya Simba kutoka Tanzania.

Je ni kweli au anataka kumtoa mnyama mchezoni? Tuchie Commeny yako hapa chini

Chanzo: www.tanzaniaweb.live