Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msuva aendelea kuuwasha moto Saudi Arabia, atupia bao 2

Msuva Simon Saudi Msuva aendelea kuuwasha moto Saudi Arabia, atupia bao 2

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa kimataifa wa Tanzania na Klabu ya Al Najma FC ya Ligi daraja la pili nchini Saudi Arabia Simon Msuva leo amefunga magoli mawili katika kipigo cha 5-2 toka Klabu ya Al Arab.

Msuva alifunga dakika ya 52 na 65 hadi hivi sasa amecheza mechi 2 na kufunga magoli 3.

Klabu ya Al Najma inashika nafasi ya 9, alama 23 na michezo 24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live