Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msuva aanza tizi Al Najmah

Simon Msuva Al Najmah Msuva aanza tizi Al Najmah

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Simon Msuva, ameanza rasmi mazoezi na timu yake ya mpya ya Al Najmah ya Saudi Arabia baada ya kumalizana na JS Kabylie.

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Simon Msuva, ameanza rasmi mazoezi na timu yake ya mpya ya Al Najmah ya Saudi Arabia baada ya kumalizana na JS Kabylie. Al Najmah katika Ligi Kuu Saudia imecheza mechi 19 na kuvuna pointi 25, ikishinda mechi 7, droo 4 na kupoteza mechi 8.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live