Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msuva aanza kutupia Algeria

Msuva Algeria Msuva aanza kutupia Algeria

Wed, 13 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Taifa Stars Simon Msuva ameanza na moto akiwa na timu mpya iliyomsajili hivi karibu ya JS Kabylie ya Algeria.

Msuva katika mechi ya kwanza akiichezea timu hiyo ilishinda mabao 5-1, huku straika huyo akihusika katika mabao mawili, alifunga moja na kutoa assist moja kufunguka imempa taswira ya timu hiyo ilivyo.

“Nashukuru nimeanza vizuri pamoja na timu yangu kuondoka na ushindi mnono mechi ilikuwa nzuri na imenipa taswira ya mbeleni kupoje na kuendelea kupambana zaidi,” alisema Msuva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live