Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msuva aanza kuonyesha makali yake Al Najmah

Simon Msuva Al Najmah Simon Msuva.

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva tayari ameanza maisha yake ya Soka huko Saudi Arabia akiwa na Klabu yake Al Najmah Sports Club.

Msuva tayari amecheza dakika 270 ndani ya Saudi First Division League yaani mechi zote tatu kacheza dakika 90 .

Mechi zote tatu kacheza kama mshambuliaji wa kati, Al Najmah walishinda mchezo mmoja na kutoka sare michezo miwili.

Kila la kheri kwake huyu mwamba ni mpambanaji sana bado hajafunga bao wala kutoa Assist ila amekuwa mchezaji muhimu ndani ya kikosi Cha Al Najmah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live