Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msuva aanza kufanya kweli Saudi Arabia (+Video)

Al Najma FC Msuva aanza kufanya kweli Saudi Arabia

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa kimataifa ya Tanzania ambaye anacheza ligi daraja kwanza Saudia, Simon Msuva jana amefunga goli lake la kwanza kwenye mchezo wake wa kwanza akiwa na klabu ya Al-Najma SC kwenye mchezo wa ligi wakishinda 3-1 dhidi ya Al-Jandal na kuisaidia timu yake kubeba alama 3 muhimu.

Tazama Video hapa chini kuona goli hilo la Msuva:

View this post on Instagram

A post shared by Simon Msuva (@smsuva27)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live