Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msuva, Mnoga, Starkie na Kawawa watu Taifa Stars

Stars Msuva.jpeg Msuva, Mnoga, Starkie na Kawawa watu Taifa Stars

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) wanaocheza nje Haji Suleiman Haji Ali Mnoga, Ben Anthony Starkie, Kwesi Kawawa na Simon Msuva wamejiunga na kambi kuelekea michezo ya kufuzu Kombe la Dunia vs Niger na Morocco.

Haji Mnoga ni beki wa kulia anayecheza Aldershot Town ya Uingereza akitokea Portsmouth kwa mkopo, Ben Starkie (mshambuliaji Basford United ya Uingereza) na Kwesi Kawawa (kipa kutoka karlslunden ya Sweeden) na Simon Msuva anakipiga ni mshambuliaji anayekipiga JS Kabylie.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live