Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msuva: Bado tumayo nafasi ya kufuzu AFCON

Msuva.jpeg Msuva: Bado tumayo nafasi ya kufuzu AFCON

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kupoteza kwenye mchezo wa kwanza. Matumaini ya wachezaji bado ni makubwa kwenye michezo miwili iliyosalia;

Vs Zambia, Vs Congo.

Simon Msuva amesema, licha ya kupoteza, mwalimu ameona mapungufu na watafanyia kazi.

"Bado sisi tuna timu nzuri, tunamshukuru Mungu tumemaliza salama dhidi ya Morocco japo tumepoteza lakini tuna imani tunakwenda kufanya vizuri katika michezo miwili iliyosalia," alisema Msuva baada ya mechi kuisha kwa kupoteza 3-0 dhidi ya Morocco hapo jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live